Friday, 27 June 2014

FAIDA YA KITUNGUUMAJI KAMA DAWA YA KUTIBU MAGONJWA MENGI.





KITUNGUU MAJI HUTIBU MAGONJWA YAFUATAYO
Uvimbe
Kikohozi
Vidonda vya tumbo
Mifupa
Ngozi
Koo
Figo
Tumbo
mkojo
MATAYARISHO
Menya vitunguu maji 3 vikubwa, visage au vitwange ili upate maji yake, changanya na maji kidogo yaliyochemka. Chukua punje 3 za Kitunguu Swaumu, mwaga maji ya vitunguu maji juu yake acha mchanganyiko ukae ndani ya bilauri masaa 2, ongeza asali vijiko vikubwa 5. tumia kijiko kikubwa kimoja kutwa mara 2 kwa siku 3 au siku 7 inategemea na ukubwa wa ugonjwa wako jinsi ulivyo.

Related Posts:

  • JINSI YA KUTIBU UGONJWA WA PUMU (ASTHMA) JINSI YA KUTIBU UGONJWA WA PUMU Mahitaji:   Karafuu 6  Karafuu  Maandalizi: Zitowe vichwa vyake kisha loweka hizo karafuu katika nusu gilasi ya maji usiku kucha   Matumizi: &nbs… Read More
  • PILIPILI HUIMARISHA UJASIRI NA NGUVU MWILINI! Kama ilivyo kwa matunda na vyakula vingine kuwa na faida kiafya mwilini, pilipili nayo ni moja wapo. Licha ya kuogopwa na baadhi ya watu, lakini ina kiasi kingi cha vitamin C. Umuhimu wa Vitamin C mwilini,  … Read More
  • ZIJUE FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA Unaweza kuzidharau mbegu za maboga, lakini ni miongoni mwa mbegu zenye faida kubwa mwilini, zinazoweza kuzuia na kutibu hata magonjwa hatari yaliyoshindikana hospitalini. Kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi uliok… Read More
  • KUONDOA CHUNUSI KWA KUTUMIA MANJANO Mahitaji  ya kuondoa chunusi kwa manjano - Vijiko viwili (2 tbs) vya unga wa binzari ya Manjano (Turmeric powder) - Kijiko kimoja (1 tbs) cha unga wa Riwa – wengine huita Liwa (Sandalwood) - Vijiko vinne… Read More
  • TIBA ASILIA YA TUMBO Watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tumbo lisilo la vidonda wala ugonjwa wowote ila utasikia anakwambia tumbo linanikata, huenda akawa anavurugikwa na tumbo au imetokea linasumbua tu. Tiba hii hapa Kwanza k… Read More

0 comments:

Post a Comment