MVUA zinaendelea kunyesha
katika maeneo mbalimbali
nchini, na baadhi ya na maeneo haya
Yamekuwa yakikumbwa
mara kadhaa
hukumbwa na magonjwa ya
mlipuko kama vile
kipindupindu, kutokana na
uchafu wa mazingira katika
baadhi ya mitaa yetu.
katika maeneo mbalimbali
nchini, na baadhi ya na maeneo haya
Yamekuwa yakikumbwa
mara kadhaa
hukumbwa na magonjwa ya
mlipuko kama vile
kipindupindu, kutokana na
uchafu wa mazingira katika
baadhi ya mitaa yetu.
Vyakula na matunda pia
vinaendelea kuuzwa katika
mazingira yasiyoridhisha kando
ya barabara mbalimbali za jiji, miji na mitaa mbalimbali
pia, vipo vinavyouzwa karibu
ya mitaro iliyofurika maji
machafu.
Sishangazwi na kuwepo kwa
vinaendelea kuuzwa katika
mazingira yasiyoridhisha kando
ya barabara mbalimbali za jiji, miji na mitaa mbalimbali
pia, vipo vinavyouzwa karibu
ya mitaro iliyofurika maji
machafu.
Sishangazwi na kuwepo kwa
biashara hizo kando ya
barabara, kwa sababu naelewa
kuhusu ufinyu wa maeneo ya
biashara kwenye miji ya
barabara, kwa sababu naelewa
kuhusu ufinyu wa maeneo ya
biashara kwenye miji ya
kibiashara ambako kila mmoja
huchangamka kupata angalau
sehemu ya kuanzisha shughuli
yake ili ajiingizie kipato.
huchangamka kupata angalau
sehemu ya kuanzisha shughuli
yake ili ajiingizie kipato.
Lakini pia, sioni kuwa ni sahihi
kwa mfanyabiashara mtafutaji
anayejali afya za wateja wake,
kuuza chakula, matunda au
vitafunwa katika eneo lenye
uchafu, hata kama ni pembeni
mwa barabara kwa sababu
vinakosa usalama.
Nzi na wadudu wengine
wanaoruka wakiwa wamebeba
vimelea vya magonjwa
huhamisha makao kutoka
kwenye uchafu kwenda katika
vyakula hivyo, huku binadamu
nao wakipanga foleni
kwa mfanyabiashara mtafutaji
anayejali afya za wateja wake,
kuuza chakula, matunda au
vitafunwa katika eneo lenye
uchafu, hata kama ni pembeni
mwa barabara kwa sababu
vinakosa usalama.
Nzi na wadudu wengine
wanaoruka wakiwa wamebeba
vimelea vya magonjwa
huhamisha makao kutoka
kwenye uchafu kwenda katika
vyakula hivyo, huku binadamu
nao wakipanga foleni
kuvinunua na kula ilhali wakijua
vinauzwa katika mazingira
yasiyostahili kiafya, sasa namna
hii tutaepuka kipindupindu na
magonjwa mengine ya
mlipuko?
Siamini kama hilo linawezekana
bila watu kubadili tabia za
kukumbatia uchafu, kutojali
madhara ya kula ovyo na kuwa
waangalifu au wachaguzi wa
mahali safi kwa ajili ya chakula
wanachoamini na kujiridhisha
kuwa kimeandaliwa katika hali
ya usalama wa afya.
Usafi si kazi ngumu kama
kubeba mawe au zege, ni
nyepesi na yenye maana kubwa
ikihusisha busara za mtu binafsi
na uelewa kuhusu faida zake,
hivyo asitokee mtu
akajidanganya kwamba usafi
una mwenyewe na kuupuuza
kwani kufanya hivyo ni
kujimaliza kwa ujinga.
Ni vema kila mtu akaupa usafi
wa mazingira na chakula
kipaumbele kwa kuwa kufanya
hivyo kutamwondolea
uwezekano wa kupata
magonjwa ya mlipuko.
Kadhalika, wafanyabiashara wa
vimiminika kama maji
yasiyosindikwa, mboga mfano
wa kabichi, juisi za aina
mbalimbali na matunda,
wanapaswa kuviandaa kwa
vinauzwa katika mazingira
yasiyostahili kiafya, sasa namna
hii tutaepuka kipindupindu na
magonjwa mengine ya
mlipuko?
Siamini kama hilo linawezekana
bila watu kubadili tabia za
kukumbatia uchafu, kutojali
madhara ya kula ovyo na kuwa
waangalifu au wachaguzi wa
mahali safi kwa ajili ya chakula
wanachoamini na kujiridhisha
kuwa kimeandaliwa katika hali
ya usalama wa afya.
Usafi si kazi ngumu kama
kubeba mawe au zege, ni
nyepesi na yenye maana kubwa
ikihusisha busara za mtu binafsi
na uelewa kuhusu faida zake,
hivyo asitokee mtu
akajidanganya kwamba usafi
una mwenyewe na kuupuuza
kwani kufanya hivyo ni
kujimaliza kwa ujinga.
Ni vema kila mtu akaupa usafi
wa mazingira na chakula
kipaumbele kwa kuwa kufanya
hivyo kutamwondolea
uwezekano wa kupata
magonjwa ya mlipuko.
Kadhalika, wafanyabiashara wa
vimiminika kama maji
yasiyosindikwa, mboga mfano
wa kabichi, juisi za aina
mbalimbali na matunda,
wanapaswa kuviandaa kwa
kuzingatia kanuni bora za afya
badala ya kulipua ili kupata
fedha.
Ikumbukwe, kuwa maradhi
kama kipindupindu
yanapolipuka hukumba watu
badala ya kulipua ili kupata
fedha.
Ikumbukwe, kuwa maradhi
kama kipindupindu
yanapolipuka hukumba watu
tofauti na si lazima waliokula au
kunywa visivyochemshwa
vizuri, hivyo kuna uwezekano
hata mfanyabiashara
anayeendekeza uchafu naye
akaugua.
Usafi wa mazingira usisubiri
amri za viongozi wala wamiliki
wa maeneo bali umhusu kila
mmoja kwa ajili ya kulinda afya.
Watumiaji wa maeneo machafu
nao wanapaswa kubadilika kwa
kugeukia maeneo safi.
Kwa mfano wanunuzi wa
vyakula vilivyopikwa,
wanaweza kuanza utaratibu wa
kujiridhisha kwanza kuhusu
usafi wa mazingira wa sehemu
wanapokwenda kula kabla ya
kukaa na kuagiza chakula.
Vile vile wanaopenda kula vitu
vidogo wakiwa katika
pilikapilika njiani, kwa mfano
mahindi na matunda
yaliyoandaliwa tayari kwa kula
kama vile mananasi na
mengineyo, wanaweza kuacha
kufanya hivyo na kwenda
kujiandalia vitu hivyo nyumbani
katika hali ya usafi au
inashindikana wanaweza
kujiwekea utaratibu wa kunawa
kabla na baada ya kula.
Ninashauri hivyo kwa sababu
najua kuwa wengi wanaonunua
vitu njiani na kula
hawakumbuki kunawa mikono.
Sasa itarajiwe nini kama
watashika na kula chakula
mikono ikiwa na uchafu hata
kama hauonekani kwa macho?
Bakteria wanakuwapo wakati
wote katika mikono
isiyosafishwa vizuri, hivyo
uwezekano wa kupata maradhi
kwa kutojali utaratibu huo wa
kunawa mikono kabla ya kula ni
mkubwa.
Magonjwa ya kuambukiza
yanapolipuka kutokana na
uchafu hayachagui yampate
nani. Hayajali usomi, dini, urefu,
ufupi wala cheo, ilimradi kuna
mianya ya uchafu unaoweza
kupenya na kufanya
mashambulizi, inafanyika hivyo
na kufanya anayeugua aadhirike
kwa kuwa ni magonjwa
yatokanayo na uchafu.
Suala la kwamba mtu
aliambukizwa na fulani hilo
linakuja baadaye hivyo ni vema
kushirikiana kuweka mazingira
katika hali ya usafi ili magonjwa
yatokanayo na uchafu
yasituathiri.
kunywa visivyochemshwa
vizuri, hivyo kuna uwezekano
hata mfanyabiashara
anayeendekeza uchafu naye
akaugua.
Usafi wa mazingira usisubiri
amri za viongozi wala wamiliki
wa maeneo bali umhusu kila
mmoja kwa ajili ya kulinda afya.
Watumiaji wa maeneo machafu
nao wanapaswa kubadilika kwa
kugeukia maeneo safi.
Kwa mfano wanunuzi wa
vyakula vilivyopikwa,
wanaweza kuanza utaratibu wa
kujiridhisha kwanza kuhusu
usafi wa mazingira wa sehemu
wanapokwenda kula kabla ya
kukaa na kuagiza chakula.
Vile vile wanaopenda kula vitu
vidogo wakiwa katika
pilikapilika njiani, kwa mfano
mahindi na matunda
yaliyoandaliwa tayari kwa kula
kama vile mananasi na
mengineyo, wanaweza kuacha
kufanya hivyo na kwenda
kujiandalia vitu hivyo nyumbani
katika hali ya usafi au
inashindikana wanaweza
kujiwekea utaratibu wa kunawa
kabla na baada ya kula.
Ninashauri hivyo kwa sababu
najua kuwa wengi wanaonunua
vitu njiani na kula
hawakumbuki kunawa mikono.
Sasa itarajiwe nini kama
watashika na kula chakula
mikono ikiwa na uchafu hata
kama hauonekani kwa macho?
Bakteria wanakuwapo wakati
wote katika mikono
isiyosafishwa vizuri, hivyo
uwezekano wa kupata maradhi
kwa kutojali utaratibu huo wa
kunawa mikono kabla ya kula ni
mkubwa.
Magonjwa ya kuambukiza
yanapolipuka kutokana na
uchafu hayachagui yampate
nani. Hayajali usomi, dini, urefu,
ufupi wala cheo, ilimradi kuna
mianya ya uchafu unaoweza
kupenya na kufanya
mashambulizi, inafanyika hivyo
na kufanya anayeugua aadhirike
kwa kuwa ni magonjwa
yatokanayo na uchafu.
Suala la kwamba mtu
aliambukizwa na fulani hilo
linakuja baadaye hivyo ni vema
kushirikiana kuweka mazingira
katika hali ya usafi ili magonjwa
yatokanayo na uchafu
yasituathiri.
0 comments:
Post a Comment