MATUMIZI
MBALIMBALI YA MAFUTA
YA NAZI
1 1. Mafuta ya nazi kama Make Up Remover : Kama umefanya make up na unataka kuondoa unaweza kufanya hivyo kwa kutumia mafuta ya nazi. Chukua pamba chovya kwenye mafuta ya nazi kasha tumia kusugua kwenye sehemu za uso ulizo paka make up yako.
2. Kusafisha uso : Paka mafuta ya nazi sehemu z a shingoni na usoni kisha fanya masaji halafu jifute kwa kutumia kitambaa au taulo.
3. Kufanya scrub Ya Mwili Mzima ( Body Scrub ) : Chukua vijiko vitano vikubwa vya sukari kisha changanya na vijiko vitano vikubwa vya mafuta ya nazi kisha koroga mchanganyiko wako halafu utumie kufanyia scrub
4. Kufanya Scrub Ya Usoni ( Facial Scrub ) : Changanya mafuta ya nazi na amira au makande pamoja na mdalasini kasha tumia kufanya scrub usoni .
5. Kunyolea ( Kushave ) : Jipake mafuta ya nazi katika sehemu yenye nywele kisha nyoa.
6. Kujipaka : Unaweza kutumia mafuta ya nazi kujipaka. Unaweza kuongeza na marashi ya rose ili kuyafanya mafuta yawe na harufu nzuri. Matumizi ya mafuta ya nazi mwilini huifanya ngozi yako kuwa na afya njema.
7. Kuondoa Makunyanzi : Jipake mafuta ya nazi juu ya macho ili kuondoa makunyanzi.
8. Kuondoa harufu mbaya ya mwili : Matumizi ya mafuta ya nazi husaidia kuondoa harufu mbaya ya mwili. Tumia kujipaka mafuta ya nazi mara mbili kwa siku asubuhi na jioni na baada ya wiki tatu au nne, hautakuwa tena na harufu mbaya ya mwili. Ukiya changanya pamoja na marashi ya waridi utapata matokeo mazuri zaidi.
9. Kuogea ; Changanya mafuta ya nazi kwenye maji ya oto kisha tumia maji hayo kuogea.
10. Kutengeneza sabuni : Mafuta ya nazi ni moja kati ya malighafi muhimu sana katika utengenezaji wa sabuni za aina mbalimbali.
11. Kupigia mswaki ; Changanya mafuta ya nazi na amira ya unga kisha tumia kupigia mswaki.
12. Kurutubisha nywele : Mafuta ya nazi yanajulikana kama “ Hair’s Best Friend ‘, unaweza kurutubisha nywele zako kwa kutumia mafuta ya nazi. Vile vile mafuta ya nazi yanaweza kutumika kama dawa ya kuulia vijidudu endapo yatachanganywa na mafuta mengine ya aina tofauti tofauti.

0 comments:
Post a Comment