Majani Ya Aloe Vera
Kama unasumbuliwa na Malaria Sugu fuata maelekezo yafuatayo kutayarisha dawa ya asili.
MAHITAJI :
i. Majani ya mwarobaini kiasi cha viganja viwili vya mtu mzima.
ii. Majani ya Aloevela kiasi cha viganja viwili vya mtu mzima..
iii. Maji safi na salama lita tatu.
Hatua Za Kufuata
Changanya majani ya mwarobaini na alovela kwenye sufuria, kisha ongeza lita tatu za maji safi na salama halafu chemsha pamoja mpaka utakapo ona mchanganyiko wako unatoa mchuzi ama soup. Ipua , chuja, kasha ihifadhi dawa yako kwenye chupa ya chai.
MATUMIZI :
Kunywa kikombe kimoja cha dawa yako mara tatu kwa siku kwa muda wa siku tatu mfululizo na malaria itapona.
ALTERNATIVELY :
Vile vile unaweza kutumia ndimu na maji ya madafu kujitibu malaria sugu.
MAHITAJI :
i. Ndimu Saba Zilizo komaa vizuri.
ii. Maji Ya Madafu.
JINSI YA KUFANYA :
Chukua dafu, likate kisha maji yake uyahifadhi kwenye jagi, halafu chukua ndimu saba, zikamulie kwenye maji ya madafu halafu koroga mchanganyiko wako.
MATUMIZI :
Kunywa glasi mbili kwa siku, asubuhi glasi moja na jioni glasi moja. Fanya hivyo mpaka malaria itakapo ondoka.
|
0 comments:
Post a Comment