Sunday 20 April 2014

MATIBABU YA UGONJWA WA KUSAHAUSAHAU (KUPOTEZA KUMBUKUMBU)






Dawa ya ugonjwa wa kusahau sahau Kumbukumbu (memory):

Mahitaji: 
  • Habbat sawdaa
  • Asali
 Maandalizi:

Changanya asali na unga wa Habbat Sawdaa 

Matumizi:
Kunywa kijiko kimoja cha unga wa Habbat-Sawdaa chaenye mchanganyiko wa asali mara mbili kwa siku kwa muda wa siku 7.

0 comments:

Post a Comment