Majani ya nyonyo ni tiba ya kifua kikuu na mizizi
yake ni dawa ya mafindofindo, kuungua, macho yanjano, uvimbe, koo,
kisonono na kaswende.
Kikonyo chake ni dawa ya kwikwi.
JINSI YA KUTUMIA MMEA WA MNYONYO KUJITIBU MAGONJWA & MATATIZO MBALIMBALI YA KIAFYA.
i. Kwikwi :
Jaza maji kwenye kikonyo, mpe mgonjwa anywe kila baada ya
dakika 3 mpaka kwikwi iishe.
ii.
Kuungua
:
Meza punje
za mti wa
nyonyo kwa maji kiasi
cha glasi moja
kwa siku kwa muda
wa siku tano.
iii.
Kutibu miguu
inayo uma :
Tumia majani kwa
kufungia miguu inayouma.
iv.
Maumivu Ya
Mgongo
:
v.
Majani
yake ukiyapasha moto yafaa kukanda mgongo wenye
maumivu.
vi.
Kutibu Kaswende
na Kisonono :
Ponda
mizizi
ya mti
wa mnyonyo, kisha chemsha
na tumia kunywa
glasi moja mara mbili
kwa siku kwa
muda wa siku
saba.
vii.
Kuondoa Kondo
La Nyuma
:
Mizizi
ya mti wa
mnyonyo ikitafunwa na
mama mjamzito yafaa
kwa kutoa mfuko
wa uzazi ( kondo
la nyuma )
kwa urahisi na
usalama zaidi.
Myonyo/Mbarika (Castor)
Mnyonyo (KiSwahili) Erand (KiHindi) Kastorka
(KiRusi) ni mmea wa jamii ya Mbono Kaburi, kwa jina la kitaalamu
Japtropha - nitauzungumzia siku zijazo.
Baadhi ya faida za mnyonyo na mazao yake.
Majani ya mnyonyo yanaweza kutumika kama tiba ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB), kukanda (massage) ili kuondoa maumivu na majani haya yakifungwa kwenye mguu unaouma huleta nafuu hasa kwa maumiviu yanayokuja baada ya kuteguka, pia hutumika kutibu uvimbe kwa wanyama.
Mizizi ya mnyonyo huweza kutumiwa kama dawa ya mafundo fundo, uvimbe, kuungua, macho ya manjano, kuumwa koo na magonjwa ya kuambukiza ya kisonono na kaswende. Ukijaza maji baridi kwenye kikonyo cha mnyonyo na kumpa mtu mwenye kwikwi kila baada ya dakika mbili au tatu hivi, mara nyingi huondoa usumbufu unaoletwa na kwikwi.
Mbegu/Punje/Tunda/Njugu
za mnyonyo zikimezwa na maji bilauri moja kila siku kwa muda wa siku tano huweza kutibu maumivu yaliyosababishwa na kuungua. Vile vile, mbegu hizi huweza kusagwa na kisha kuenguliwa mafuta kwa ajili ya kulainisha mashine na mitambo viwandani.
Mbegu za mnyonyo kabla ya kukomaa
Mafuta yatokanayo na mbegu za nyonyo mfano Ricinoleic Acid, Oleic Acid, Linoleic Acid nk hutumika kutibu ugonjwa wa wa jongo (rheumatism) unaowakumba watu wengi wanaoishi maeneo ya miinuko na baridi, pia hutibu ugonjwa wa mifupa ujulikanao kwa jina la kitaalamu kama arthritis na gauti.Mafuta ya mnyonyo pia yanaweza kutumika kama njia ya
kupanga uzazi
kwani yana kiasi fulani cha sumu ya protini ijulikanayo kitaalamu kama ricin ambayo ikitumiwa kwa kiasi kidogo huharibu utungo, huweza pia kutumiwa kama mafuta ya kupaka ama losheni katika sehemu za siri ili kuua mbegu za uzazi za kiume wakati wa tendo la kujamiiana. zazi wa mpango.
Tahadhari:
Akina mama wanao nyonyesha
pia wanaweza kutumia mafuta baridi ya mnyonyo (kiasi kidogo ili kuepuka madhara ya mafuta hayo kwa mtoto, kumbuka hapo awali nimeandika kuwa mafuta haya yakitumiwa kwa kiwango kikubwa ni sumu) kuongeza wingi na mtiririko rahisi wa maziwa.
Nywele
nzuri, safi, nadhifu na zisizokatika pia ngozi imara inapatikana kutokana na matumizi ya mafuta ya mnyonyo.Mafuta ya mnyonyo pia ni dawa nzuri ya kufungua tumbo la uyabisi (kuvimbiwa).
Faida nyinginezo:
Mnyonyo unaweza pia kuwafaa watu wanaoishi na VVU (Virusi Vya UKIMWI) kwani mafuta yake ni sumu ya kuua vimelea vya magonjwa kama vile bakteria na ukungu (fungus).
Njia:
Baadhi ya faida za mnyonyo na mazao yake.
Mbali
na kuweza kutumia mnyonyo kama uzio hai, njia hii inaweza kutumika kwa
wale wasio na eneo kubwa la shamba ndiposa wakapata faida zake kama
ifuatavyo:
Majani ya mnyonyo yanaweza kutumika kama tiba ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB), kukanda (massage) ili kuondoa maumivu na majani haya yakifungwa kwenye mguu unaouma huleta nafuu hasa kwa maumiviu yanayokuja baada ya kuteguka, pia hutumika kutibu uvimbe kwa wanyama.
Mizizi ya mnyonyo huweza kutumiwa kama dawa ya mafundo fundo, uvimbe, kuungua, macho ya manjano, kuumwa koo na magonjwa ya kuambukiza ya kisonono na kaswende. Ukijaza maji baridi kwenye kikonyo cha mnyonyo na kumpa mtu mwenye kwikwi kila baada ya dakika mbili au tatu hivi, mara nyingi huondoa usumbufu unaoletwa na kwikwi.
Mbegu/Punje/Tunda/Njugu
za mnyonyo zikimezwa na maji bilauri moja kila siku kwa muda wa siku tano huweza kutibu maumivu yaliyosababishwa na kuungua. Vile vile, mbegu hizi huweza kusagwa na kisha kuenguliwa mafuta kwa ajili ya kulainisha mashine na mitambo viwandani.
Mbegu za mnyonyo kabla ya kukomaa
Mafuta yatokanayo na mbegu za nyonyo mfano Ricinoleic Acid, Oleic Acid, Linoleic Acid nk hutumika kutibu ugonjwa wa wa jongo (rheumatism) unaowakumba watu wengi wanaoishi maeneo ya miinuko na baridi, pia hutibu ugonjwa wa mifupa ujulikanao kwa jina la kitaalamu kama arthritis na gauti.Mafuta ya mnyonyo pia yanaweza kutumika kama njia ya
kupanga uzazi
kwani yana kiasi fulani cha sumu ya protini ijulikanayo kitaalamu kama ricin ambayo ikitumiwa kwa kiasi kidogo huharibu utungo, huweza pia kutumiwa kama mafuta ya kupaka ama losheni katika sehemu za siri ili kuua mbegu za uzazi za kiume wakati wa tendo la kujamiiana. zazi wa mpango.
Tahadhari:
- Mnyonyo ni mti wenye sumu inayoweza kuua binadamu au wanyama endapo itatumika kuzidi kipimo.
- Mazao yoyote yatokanayo na mnyonyo huhatarisha au/na kuharibu mimba na hata kuweza kusababisha kifo cha mjamzito, hivyo, matumizi yake lazima yawe ya uangalifu mkubwa.
- Mafuta ya Ricinoleic acid yanayopatikana kutokana na mnyonyo vile vile yanaweza kutumika kurekebisha hedhi (mzunguko wa damu ya mwezi kwa wanawake) ikiwa mzunguko umechelewa ama kusimama katika umri usiotarajiwa. Huweza pia kupunguza maumivu makali yanayotokea wakati wa hedhi.
- Mafuta ya mnyonyo yanayojulikana kitaalamu kama Undecylenic Acid huweza kutumika kutibu magonjwa mbalimbali ya ngozi na vidonda vinavyosababishwa na bakteria ama ukungu (fungus).
Akina mama wanao nyonyesha
pia wanaweza kutumia mafuta baridi ya mnyonyo (kiasi kidogo ili kuepuka madhara ya mafuta hayo kwa mtoto, kumbuka hapo awali nimeandika kuwa mafuta haya yakitumiwa kwa kiwango kikubwa ni sumu) kuongeza wingi na mtiririko rahisi wa maziwa.
Nywele
nzuri, safi, nadhifu na zisizokatika pia ngozi imara inapatikana kutokana na matumizi ya mafuta ya mnyonyo.Mafuta ya mnyonyo pia ni dawa nzuri ya kufungua tumbo la uyabisi (kuvimbiwa).
Faida nyinginezo:
Mnyonyo unaweza pia kuwafaa watu wanaoishi na VVU (Virusi Vya UKIMWI) kwani mafuta yake ni sumu ya kuua vimelea vya magonjwa kama vile bakteria na ukungu (fungus).
Njia:
- Kupakaza: Chukua kipande cha nguo ama kitambaa, kisha kiloweke kwenye mafuta ya mnyonyo ndipo ufunge katika kiwiko ama eneo lenye maumivu ama kidonda. Vinginevyo, chukua kiasi cha mafuta na kupaka eneo linalohusika mfano, penye kidonda, kuugua ama pakaza kichwani au juu ya tumbo wakati wa maumivu ya hedhi nk. Unaweza kuacha kwa muda wa saa moja kabla ya kunawa ili uipe ngozi muda wa kunyonya kiasi cha mafuta. Unaweza kujifunga kitambaa hicho tumboni ama mgongoni kama kibwebwe na kuendelea na shughuli za kawaida.
- Kunywa: Chemsha mbegu chache za mnyonyo pamoja na maji na maziwa kisha unywe kiasi kidogo kadiri ya nusu hadi bilauri moja ya ujazo wa mili lita mia mbili na arobaini.
- Kusafisha utumbo: Kunywa mafuta ya mnyonyo vijiko viwili vikubwa vya chakula asubuhi, kisha pumzika kwa saa mbili ndipo unywe maji glasi mbili na endelea kunywa maji glasi moja kila baada ya saa moja.
Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili anatibu magonjwa mbalimbali pia anazo dawa kwa ajili ya kuongeza uume na kurefusha uume...anatibuu ugumba.hedhi isiyo na mpangilio..mtafute kupitia 0764839091
ReplyDeleteDr kanyas mtaalamu wa tiba asili anazo dawa mbqlimbali kwa kutumia mitishamba na dawa za kisuna anazo dawa za kurefussha uume na kunenepesha uume....mtafute kupitia 0764839091
ReplyDeletegood
ReplyDeleteMi nimekuwa msomaji sana wa makala zako hasa jamii forum. Vipi kuhusu kutibu infertility kwa wanaume. Mfano kupaka sehemu ya dhakar na pia nigejua kuhusu ngiri hasa ya kwenye kondo au anal hernia. Asante
ReplyDeleteMimi nimenunua mafuta ya nyonyo natumia kupaka kama lotion napia napaka kichwani,je kuna madhara yoyote nitakayoyapata?
ReplyDeleteMti uyo unasaidiya mtu kupata uzazi
ReplyDelete