Thursday 1 May 2014

TIBA USHAURI JUU YA FUNGUS




Fungus ya kuwasha sehemu za siri ndio
inayojulikana sana hasa kwa vijana wa kati
ya miaka 15 hadi 35.

TIBA NA USHAURI:
Kwanza,Hakikisha sehemu husika
inakuwa kavu masaa 24.


pili pakaa poda yoyote ya kutibu fangasi
asubuhi na usiku kwa wiki 4 mfululizo.

tatu,tafuta na meza antibiotic eg
cloxacillin 250mg(2 x 3 siku 5) kama
sehemu yenyewe imekwa kama kidonda
ili uweze kukausha haraka.

Nne usivae boxer/chupi bali vaa bukta
yenye kuruhusu hewa kupita na jikaushe
vizuri baada ya kuoga(ni vizuri kusubiri
ukauke kabla ya kuvaa nguo).
Usitumie sabuni zenye dawa kwani
zitakusaidia kwa muda lakini zitafanya
ngozi kupoteza uwezo wake wa asili wa
kujilinda dhidi ya vijidudu(ngozi ina
uwezo wa kujilinda kiasili,haiitaji
msaada, na uwezo wake unaongezeka
kadiri inavyoshambuliwa na vijidudu-)

Tano hakikisha unabadili nguo ya ndani
kila siku na unavaa nguo safi na ikibidi
uipige pasi kila siku.

Sita,tumia cream inayoitwa QUADRIDERM
X 2 KWA SIKU 14 lakini ipake sehemu
ikiwa kavu na kaa dk 15-30 kabla ya
kuvaa nguo

Saba Dawa kiboko ya minyoo na fungus
sugu (home made)!!

Habari zenu wadau.Nimeona nitoe
elimu hii hapa kwa sababu ni watu
wengi sana wanaosumbuliwa na
minyoo na fungus sugu kila maeneo
kuanzia miguuni mpaka sehemu
nyeti!Hii imekuwa kero
sana.Haijalishi umezunguka hospitali
ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya
ni:-

Nunua kitunguu swaumu.Menya
chote kama vile uandaavyo kwa ajili
ya kupikia.Twanga ama
saga,vikishasagika changanya na
maji ya uvuguvugu kidogo kipimo
cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota
msagiko wote wa vitunguu na
uvimeze.

Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko
ama sehemu ya maliwatoni maana
kama hauna tumbo zuri unaweza
tapika.(Mara chache sana hutokea
kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako
itarudi kawaida.Baada ya SIKU
3 au siku 7,utaona minyoo hakuna tena na
fungus wote wamekauka!Kwisha
kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka
usitumie hii dawa maana huwa
inashusha sana presha,labda unywe
na kahawa baada ya kuinywa dawa

hii ili kuipandisha tena presha!
Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu


Mwisho,
Muone daktari kwa ushauri na
tiba zaidi.

0 comments:

Post a Comment