Thursday, 5 May 2016

TAMBUWA SABABU KUMI KWA NINI NYWELE ZAKO ZINANYONYOKA KICHWANI?




Kama uemgundua nywele zako zinanyonyoka, usi panic. Sababu inaweza kuwa rahisi. Inaweza kuwa ni ukosefu wa vitamin au sababu za kinasaba ( urithi ).
Zifutazo ni sababu kwa nini nywele zako zinanyonyoka.
1. Stress
Kila aina ya physical and emotional pain inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. . Ajali ya gari au kufanyiwa upasuaji vinaweza kukusababishia stress ambayo itakuletea kunyonyoka kwa nywele zako. Emotional stress hazisababishi kunyonyoka kwa nywele lakini inaweza kutokea pale unapokuwa katika wakati mgumu kisaikolojia kama vile kumpoteza mtu wako wa karibu kutokana na kifo au kuachwa kimapenzi. Hata hivyo,. Baada ya wakati huo mgumu, nywele zako zitaanza kuota tena baada ya miezi sita.
2. Homoni
Kunyonyoka kwa nywele kunaweza kuwatokea wanawake w alio katika menopause kutokana na kuadilika kwa viwango vya homoni. Inaweza kutokea pia kwa wanawake wanaotumia vidonge vya uzazi wa mpango hususani wanapokuwa wana ahirisha mara kwa mara zoezi la kutumia vidonge hivyo. Unashauriwa kama unatumia vidonge kwa uzazi wa mpango, basi hakikisha unazingatia ratiba na usiahirishe hata mara moja.
3. Ukosefu wa Protini au Hamirojo
Ukosefu wa protini unaweza kudhoofisha ukuaji wa nywele au kusababisha kunyonyoka kwa nywele kabisa na hatimaye kuwa na kipara kabisa.
4. Ujauzito
Ujauzito ni miongoni mwa mambo yanayo leta physical stresses and there are also na pia huleta mabadiliko ya homoni. Kunyonyoka kwa nywele hutokea baada ya kujifungua.
5. Kurithi
If any of your parents at some time started to lose hair, it is very possible for the same thing to happen to you.
Kama mmoja kati ya wazazi wako au babu zako wa upande wa baba au mama aliwahi kuwa na tatizo la kunyonyoka nywele au kuwa na kipara kabisa, basi kuna uwezekano mkubwa sana kwa jambo hilo kutokea kwako pia kwa sababu za urithi. Hakuna maelezo yoyote ya kitabu kuhusu jinsi ya kukinga suala hili , hata hivyo unaweza kujaribu kutumia vyakula na dawa mbalimbali bila kujali sababu iliyo fanya unyonyoke nywele au kuwa na kipara.
6. Vinasaba vya kiume
Tafiti mbalimbali za kisayansi zinaonyesha kuwa, wanaume wengi wana anza kuonyesha dalili za kunyonyoka mwele wakiwa na umri wa kuanzia miaka sitini ( 60) na kuendelea. So kama wewe ni mwanaume mwenye umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea na nywele zako zimeanza kuonyesha dalili za kunyonyoka, huna haja ya kupanic wala kutafuta tiba, kwani suala hilo ni la kawaida kabisa kwa wanaume wenye umri wako.
7. Anemia
Anemia husababishwa na ukosefu wa madini ya chuma katika damu. Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili (anemia ). Hata hivyo, ili kupambana na tatizo hili unachotaiwa kufanya ni kuzingatia matumizi ya vyakula vyenye madini ya chuma katika mlo wako.
8. Matumizi ya vitamin A kupita kiasi.
Malimbikizo ya vitamin A mwilini husababisha kunyonyoka kwa nywele. Hata hivyo kunyonyoka kwa nywele kunako sababishwa na malimbikizo ya vitamin A mwilini huwa ni kwa muda tu. Nywele zako zitarejea katika hali yake ya kawaidautakapo punguza matumizi ya vyakula vyenye vitamin A kwa wingi kupita kiasi kwa sababu mwili wako utaweza kubalance vitamin zote mwilini.
9. Kupunguza uzito kwa haraka.
Kupungua uzito kwa haraka kunaweza kukufurahisha. Lakini hata hivyo, hii inaweza kukusababishia kunyonyoka kwa nywele kutokana na stress zilizo sababishwa katika mwili wako.
10. Matatizo kwenye tezi aina ya thyroid ( Thyroid Gland )
Thyroid gland ina husika na michakato mbalimbali katika mwili wa mwanadamuikiwemo ukuaji wa nywele. Kama tezi hii haizalishi homoni za kutosha, inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. Ukiwa katika situation hii, unashauriwa kumuona daktari kwa ushauri zaidi.
TIBA A:Tafuta unga wa habat saudaa kachiri (komoni)-rocket,siki nyepesi na mafuta ya zeituni.
Kanda unga wa habat saudaa katika juisi ya kachiri.Changanya na kijiko kimoja cha siki pamoja na kikombe(200ml) cha mafuta ya zeituni.
Kosha kichwa kwa sabuni halafu sugua kwa dawa hiyo kila siku jioni.

0 comments:

Post a Comment