Thursday, 19 June 2014

FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KUTUMIA MCHICHA KIDAWA NA KICHAKULA.





MCHICHA Hutibu yafuatayo:
Kuumwa mgongo
Kusafisha njia ya mkojo
Kusafisha damu
Unatibu tigo 
Unatibu minyoo
Unatibu damu
Baridi yabisi
Tezi la shingo
Homa
Kuongeza damu
Unatibu maumivu
Tonic ya nywele
Unasaidia kupata haja ndogo kwa wingi

MATAYARISHO
Chukua mchicha kilo 1 chemsha maji lita 2 na nusu.
Yakichemka loweka mchicha kwa dakika 15. Tumia kikombe. Ni bora utumie yote kwa siku . Dozi ni siku 5

KUTIBU MGONGO
Chukua mchicha ponda. Chua mara 3 kwa siku. Usiku unapasha moto mchicha kisha unufunga mahali panapouma. Lala nao wakati vuguvugu la joto lake lenye maji ndani (dawa) ikiingia ndani fanyahivyo kwa siku 5, ukibadilisha kila siku (fresh)


0 comments:

Post a Comment