NIMEGUNDUWA FAIDA MPYA YA ASALI NDANI YA MWILI WA BINADAMU
Asali kama tujuavyo ni dawa nzuri kwa binadamu haswa utakapo tumia ukiwa mzima au mgonjwa itakusaidia kukutibu na
haina madhara kwa binadamu.
Nimegunduwa ugunduzi wangu juu ya faida ya asali kwa binadamu nimeona
bora na mimi niwape wenzangu faida katika uchunguzi wangu.
Nimegunduwa ikiwa utatumia asali kuinywa asubuhi kabla ya kula au kunywa
kitu kijiko kimoja na wakati wa usiku wa kwenda kulala ukila hiyo Asali
tena kijiko kimoja kwa muda wa siku 40 itakusaidia kukutibu na
kusafisha ini na figo uchafu ulikuwepo ndani yake.
Kwa hiyo ninawapeni ushauri wangu muwe munatumia asali ya nyuki kila
siku kwa huo muda mutafaidika na huo uchunguzi wangu asanteni.
Masharti ya Asali ni hivi iwe asali ya nyuki wakubwa tena iwe asali
mbichi haijaipikwa wala kuchanganywa na kitu chochote kile. Fanyeni kazi
utafiti wangu
Mje munipe Feedback asanteni sana.
0 comments:
Post a Comment