Sunday 20 April 2014

JINSI YA KUTIBU UGONJWA WA PUMU (ASTHMA)


JINSI YA KUTIBU UGONJWA WA PUMU

Mahitaji:  
  • Karafuu 6 
    Karafuu

 Maandalizi:
  • Zitowe vichwa vyake kisha loweka hizo karafuu katika nusu gilasi ya maji usiku kucha 
 Matumizi:
  •  Kunywa maji yake asubuhi kabla hujala kitu chochote. Fanya hivyo kwa muda wa siku 15.

 Sisemi kuwa inampa nafuu mgonjwa bali inamponyesha kabisa kwa uwezo wa Allah.

1 comments: