Saturday 26 April 2014

FAIDA 27 ZA KIAFYA ZIPATIKANAZO KWA KUTUMIA ASALI NA MDALASINI



MDALASINI NA ASALI

Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee. Sasa hivi, utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kama itachanganywa na mdalasini wa kawaida.

Uchunguzi wa kina ufanywao kwa wiki na jarida la World News wa Tiba, wataalamu wa madawa yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na lishe, imeonekana kwamba kuna dazani nyingi za umuhimu wa asali na mdalasini pamoja na michanganyiko {dawa} ya kusisimua iletayo afya bora.


Kama ifuatayo:
1. Ugonjwa wa Viungo/Maumivu na Uvimbe {ARTHRITIS}.
Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha chai} chenye mdalasini - na kuchua sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.


Vinginevyo tengeneza chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula -viwili vya asali kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu.


Katika tafiti iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen, madaktari waliwapa wagonjwa 200, {syrup} mchanganyiko wa kijiko kimoja *cha chai* cha asali na kimoja cha mdalasini kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa. Asilimia 73% yao waliripoti nafuu kubwa ya maumivu yao na ongezeko katika kufanya shughuli kama kujongea na kutembea vyema.


2. kukatika kwa nywele {HAIR LOSS}
Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya olive, hutoa kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork. Mchanganyiko huo vuguvugu unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15.



3. Ukungu wa miguuni {FUNGUS}
Changanya kijiko kikubwa cha mezani cha asali, vijiko viwili vya mdalasini {vya chai}. Pakaa sehemu zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako itakwisha kwenye kipindi cha wiki moja.



4. Maambukizo kwenye kihofu cha mkojo {BLADDER INFECTION}
Bilauri ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na vijiko viwili {vya chai} vya mdalasini na kijiko kimoja {cha chai} cha asali huondoa bacteria kwenye kibofu. Unaweza ukatumia juisi ya cranberry badala ya maji ikiwa ambukizo la kibofu linakuwa sugu.



5. Maumivu ya jino {TOOTHACHE}.
Changanya sehemu tano za asali, na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu ya jino.
Dondoshea kwenye jino au meno yaliyoathirika hadi maumivu yatakapotoweka.



6. Vidonda vitokanavyo kwa mgonjwa kulala kwa muda mrefu {CANKER
SORES}.
Saladi ya kupaka vidonda iliyochanganywa na asali pamoja na mdalasini kwenye chai ya raspberry
nyekundu ni dawa nzuri ya kuondoa maumivu makali ya canker sores.


7. Helemu {CHOLESTERAL}
Kipimo cha helemu cha watu waliokuwa na afya nzuri {katika jaribio} kilishuka kwa wastani wa asilimia 10 katika muda pungufu ya masaa mawili baada ya kunywa bilauri moja {ounce 16} yenye vijiko viwili vikubwa vya mdalasini iliyochanganywa na chai ya moto. Kinywaji hiki kutwa mara tatu kilifanya kazi nzuri ya kushusha kiwango cha helemu mwilini.


Madhara yaletwayo na vyakula vyenye mafuta yanaweza kudhbitiwa kwa matumizi ya mara kwa mara ya chai hii pamoja na chakula chako. Hii imeripotiwa na mtafiti maarufu Dr Alexander Andreyed na Eric Vogelmann.

Ugunduzi wao uliyakinishwa kwenye jarida mashuhuri la kitiba la Denmark July 1994. vilevile/ aidha uchunguzi mwingine ulibayanishwa kutoa matumizi ya kila siku ya asali safi hupunguza viwango vya helemu.

8. Mafua {COLDS}
Mafua yameshaeleweka ya kwamba hupotea/huondoka baada ya masaa machache baada ya waathirika kutumia kijiko kimoja {cha mezani} cha asali vuguvugu iliyochanganywa na robo kijiko{cha chai} cha mdalasini, mchanganyiko huu ni mahususi katika kusaidia kuondoa chafya na kuvimba koo. 



9. Ugumba {INFERTILITY}
Asali inaaminika kuamsha nyege na wapenzi wa jinsia zote mbili wanashauriwa kunywa anglao vijiko viwili {vya mezani} kila siku kabla ya muda wa kulala {usiku}


Mdalasini umetumika kwa muda mrefu kwenye dawa za kihindi na kichina ili kuongeza uwezo wa uzazi kwa kina mama wenye kuhitaji kuzaa.

Kiungo hiki {mdalasini} huchanganywa na kiasi cha asali na kufanya mgando {paste} ambao hupakwa kwenye fizi za meno na kunyonywa na kuingia mwilini taratibu.

Familia moja iliyokuwa haina watoto iltumia mgando huu kwa mafanikio na kupata mapacha wa kike baada ya kushindwa kwa muda wa miaka 14 kupata mtoto. Walikuwa wameshakata tamaa ya kupata mtoto hadi waliposikia kuhusu mchanganyiko huu wa asali na mdalasini.

10.Mchafuko wa tumbo {UPSET STOMACH}
Asali imetambuliwa kwa kipindi kirefu kama dawa ifaayo kuondoa mchafuko wa tumbo pamoja na kichefuchefu. Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na hii tiba ya kimaajabu vilevile itapunguza maumivu yaletwayo na vidonda vya tumbo.ll.Esidi/Gesi-Co2. Hco3. Hcl.

Kula asali pamoja na mdalasini huweza kuondoa mchafuko wa tumbo na utumbo uletwao na gesi kwa mujibu wa uchunguzi mahsusi iliofanywa huko India na Japan.

12.Ugonjwa wa Moyo {HEART DISEASE}

Unaweza kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa mafuta kwenye mishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara-kwa kupakaa wakati wa kifiingua kinywa.

Kula asali ya mkate wa ngano yenye nyuzinyuzi nyingi iliyopakwa kijiko kimoja {cha mezani} cha
mchanganyiko huo hapo juu kila siku. Tiba hii ya maajabu iliweza kupunguza kuganda kwa mishipa ya damu kwa 74% ya wagonjwa waliokuwa katika nyumba za kutunzia wagonjwa - utafiti mmoja ulionyesha.

13. Shinikizo la damu {HIGH BLOOD PRESSURE}
Shinikizo la damu pamoja na matatizo yaambatanayo ya maumivu ya kifua na kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya watafiti wa kitaliano kuwapa dozi za mara kwa mara za asali ilyochanganywa na mdalasini. Vipimo vya shinikizo la damu vilionyesha


ukawaida na wote 137 waliofanyiwa jaribio hilo waliripoti kujisikia vyema/vizuri baada ya wiki chache za tiba hii ya ajabu.

14.Kinga ya mwili {IMMUNE SYSTEM}
Kinga yako ya mwili itaongezeka mara tatu zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara asali na mdalasini kwa pamoja - wataalamu wanasema.



Utafiti wa kitiba unaonyesha kwamba hazina kubwa ya vitamini{vivurutubisho} na madini pamoja na michanganyiko mingine iondoayo magonjwa pamoja na kinga itolewayo na chembechembe nyeupe za damu, husaidia kuzuia magonjwa pamoja na kuharibu vimelea {virus} na {bacteria}.


15.Ukosefu wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}
Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.

Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya dini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo wa kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa na dunia ya kusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza stamina zao za kufanya mapenzi.


16.Kutokuchaguliwa kwa chakula {INDIGESTION}
Vijiko viwili vya asali iliyonyunyiziwa mdalasini kabla ya mlo{kula chakula} huondoa kiungulia na wataalamu wanasema kwamba asali husaidia kutolewa kwa juisi zinazotumika kuchaguliwa kwa vyakula tumboni na mdalasini unaongeza spidi ya kuchaguliwa kwa vyakula.



17.Flu {INFLTJENZA}
Tafiti moja ya kihispania imethibitisha kwamba aina ya dawa moja asilia ya ajabu ambayo huharibu vairasi {vimelea} waletayo Flu.



18.Umri wa kuishi {LONGERVITY}
Unaweza kuishi kufikia hadi miaka 100 na kufurahia maisha ya afya na madhubuti kwa kunywa kila siku kikombe baridi cha chai ya mdalasini na asali. Kutengeneza kinywaji hiki kitamu, weka vijiko vine{vikubwa} vya mdalasini katika vikombe vitatu vya maji na koroga kwa dakika 10. kunywa robo kikombe kutwa mara tatu au nne na hivyo utakuwa na kinywaji kingi.


19.Chunusi {PIMPLES}

Changanya vijiko vitatu vya asali pamoja na kijiko kimoja cha mdalasini na pakaa kwenye chunusi.
Uwezo wa asali wa kuua bacteria utaufanya uso wako kuwa kawaida katika muda wa wiki mbili.



20.Kuumwa na wadudu {kwa washawasha} 

wenye sumu Pakaa asali na mdalasini moja kwa moja kwenye sehemu zilizoathirika na rudia wakati mwasho unapokuathiri. Rudia tena hadi viuvimbe vinatoweka.



21.Madhara ya ngozi {INFECTIONS}
Fanya kama ilivyoelekezwa hapo juu. Rudia kufanya hivyo hadi hali itakapokwisha.



22.Kupungua kwa uzito

Wawezakufurahia vyakula vyote unavyopenda, kuwa na afya nzuri na kupunguza uzito wa mwili ambao hauhitajiki kwa kula chakula chenye nguvu na ladha nzuri, kilichojaa vitu viwili muhimu vya asili ambavyo ni asali na mdalasini.unachohitajika kufanya ni kuhakikisha unavitumia vyote kwa kiasi katika mapishi yako. Vilevile, wataalamu wanasema unaweza kuondoa mabonge ya uvimbe wa nyamanyama nje ya mwili kwa kuanza siku yako kwa kutumia vijiko viwili vya asali iliyochanganywa na kijiko kimoja cha mdalasini ndani ya bilauri ya maji vuguvugu. Rudia mchanganyiko huu kabla ya kulala.

Wakati wa kipindi cha baridi kinapokaribia, ambacho kinaambatana na mazoezi machache, kuongeza hivi vitu viwili vya asili katika chakula ni muafaka. Pia kinywaji hiki vuguvugu kimeshahakikishwa na wataalamu wa lishe kwamba hupunguza hamu ya kula pamoja na kuleta joto mwilini.

23.Saratani {CANCER}

Utafiti uliomalizika karibuni huko Australia na Japan, umeonyesha kuwa asali ina uwezo mkubwa katika tiba ya mgonjwa anayetumia madawa ya kutibu saratani.

Katika tafiti iliyofanywa kwa wagonjwa waliokuwa wanaugua kwa kiwango kikubwa saratani ya mifupa na tumbo, wale waliokuwa wakitumia kila siku dozi za asali na mdalasini, walionyesha maradufu kupata nafuu kuliko wale waliokuwa wakitumia wakitumia madawa ya sarakani pekee. "Tuliwapa kijiko cha mdalasini na asali kutwa mara tatu kwa mwezi".anasema Dr Hiroki Owatta. "Wengine waliendelea na milo ya kawaida".



24.Uchovu {FATIGUE}
Upo ushahidi mpya kwamba sukari asilia zilizopo kwenye asali zina uwezo wa kuongeza nishati mwilini. Zikitumika ipasavyo, sukari hizi zinaweza kuwasaidia wazee na wengine wanaosumbuliwa na uchovu, wataalamu wanapendekeza kuchauganya nusu kijiko cha asali katika nusu bilauri ya maji, nyunyizia mdalasini na kunywa masaa mawili baada ya kuamka asubuhi. "Kunywa tena saa 9 alasiri wakati nishati {nguvu}inapoanza kushuka" anashauri Dr Milton Abbozza ambaye kazi zake kuhusu asali na mdalasini kama kichocheo cha nishati mwilini zinatambulika kimataifa. "katika wiki moja hii itajionyesha".



25.Kuvimba Nyayo {SORE FEET}
Chua asali na mdalasini vuguvugu katika {miguu} nyayo zilizoathirika baada ya siku ndefu na kazi au baada ya mazoezi marefu. Rudia kila asubuhi halafu nawisha nyayo kwenye maji baridi na vaa viatu.



26.Harufu mbaya kutoka mdomoni

Waamerica wa kusini wanasukutua kwa kutumia asali na mdalasini pamoja na vuguvugu kila asubuhi ili kufanya harufu toka mdomoni kuwa nzuri na safi kiasilia. Katika Asia ya kusini mashariki, watu hula kijiko cha mdalasini na asali ili kuondoa harufu mbaya mdomoni {halitosis}. Wataalamu wanaamini kwamba uwezo wa kuua bacteria uliopo kwenye asali ndiyo unaopigana na harufu mbaya itokayo mdomoni.


27.Kupungua kwa usikivu {HEARING LOSS}
Dozi za kila siku za asali na mdalasini hufanya hali ya usikivu kuwa makini kama ilivyogunduliwa na Wagiriki wa zamani.

21 comments:

  1. Nimefurahia sana makala hii. Abarikiwe sana muandaaji wa makala hii yenye kueleweka

    ReplyDelete
    Replies
    1. NILIPONYWA VIRUSI VYA HEPES SIMPLEX NA DR WATER, MGANGA MKUBWA WA TIBABU. 🌿☘️
      Nina furaha sana kushiriki ushuhuda huu na ulimwengu kwa sababu kwa ujumla kuna mashaka mengi juu ya tiba ya virusi vya HERPES simplex. This is real take it serious, naitwa HENRIETTE AMUNAZO na nina furaha sana kwamba leo naweza kutoa ushuhuda huu kwa ulimwengu na pia kusaidia watu ambao wamehukumiwa kama mimi. Nani ataamini kuwa mmea unaweza kutibu ugonjwa wa BAWASILI mwilini kabisa? kifo kinakuja kwa sababu nilikuwa nimevunjika na tayari nina milipuko mikali kutoka kwa virusi vya herpes. Siku moja nilikuwa nikipitia mtandaoni nikiuliza maswali mtandaoni ili kujua zaidi kuhusu maendeleo ya hivi punde katika sekta ya matibabu ili kuona kama bado kuna tumaini basi nilijikwaa na chapisho kuhusu huyu mtu mkubwa aitwaye DR WATER kupitia kwa rafiki wa mtandaoni ambaye aliweka hadharani. ushuhuda wa jinsi alivyoponywa pia virusi vya herpes simplex 2 na daktari huyu wa mitishamba ambaye anafahamika sana kwa tiba yake kali ya mitishamba ya HERPES, HIV, WARTS na CANCER. Mwanzoni nilitilia shaka wote wawili kwamba mwanamke na daktari vile vile wengi wanaoona chapisho hili wangetilia shaka kwa sababu kitabibu imethibitishwa kuwa haiwezekani lakini baadaye niliamua kumjaribu kwa hivyo nikamtumia barua pepe. Sikumuamini kiasi hicho, nilitaka tu kumjaribu. Alinijibu barua yangu na kuhitaji Taarifa kuhusu mimi, kisha nikamtumia, akaandaa dawa ya mitishamba (TIBA) na kuituma kwa njia ya Online Courier Service kwa ajili ya kujifungua. Alitoa maelezo yangu kwa Ofisi ya Courier. Waliniambia kuwa siku 3-5 nitapokea kifurushi na baada ya kupokea, nilichukua dawa kama alivyoagiza mwishoni mwa siku 13 ambazo dawa ilidumu, aliniambia niende hospitali kupima, na akaenda, cha kushangaza baada ya kipimo daktari alinithibitishia virusi vya Herpes simplex bure, nilidhani ni utani, nilienda hospitali zingine na pia nilithibitishwa kuwa hakuna herpes, nitasema ilikuwa kama muujiza. Nilingoja kuona ikiwa nitapata milipuko yoyote tena na imekuwa miezi 2 sasa, sijapata mlipuko wowote. Asante bwana kwa kuokoa maisha yangu hata kama huwezi kuona chapisho hili, sitaacha kushuhudia athari uliyofanya katika maisha yangu kwa kurejesha maisha yangu nilipokuwa nikinyanyapaliwa na hata kuepukwa na familia na marafiki. Ninaahidi nitashuhudia daima matendo yako mema. kama una virusi vya herpes simplex, mgonjwa wa HIV, Kisukari, human papilloma virus au genital warts, wasiliana naye na nina uhakika utapata tiba, wasiliana naye kupitia:
      barua pepe: Drwaterhivcurecentre@gmail.com
      au Piga/whatsapp: +2349050205019
      HAYA NDIYO MAMBO YA DR MAJI
      MAALUM
      . MAKUBWA
      . VVU/UKIMWI
      . KANSA
      . MIKONO YA KIZAZI
      . MAWE FIGO
      . KIDONDA
      . UGONJWA WA HEPATITI B&C
      . TATIZO LA KIWANGO CHA BANDARI
      . UGONJWA WA KISUKARI
      . SARATANI YA KUSUJUDU
      . FIBRIOD, CYST
      . UGUMBA [MUME AU MKE]

      Delete
  2. Nimefurahia sana makala hii. Abarikiwe sana muandaaji wa makala hii yenye kueleweka

    ReplyDelete
  3. Kweli huwa tunaangamia kwa kukosa maarifa.Asante kwa kunipa ujanja huu.

    ReplyDelete
  4. Iko poua saana hii makala hii ni elimu yakudumu thanx.

    ReplyDelete
  5. Nice and very helpfull,I appreciate
    the blog

    ReplyDelete

  6. I found a lot of information here to create this actually best for all newbie here. Thank you for this information.
    red ball 4 | ninjago games | strike force kitty 2 | red ball 3 | ninjago games

    ReplyDelete
  7. Mimi pia nimefurahia sana makala ya umuhimu wa asali mwilini hasa kwa kuchanganya na madalasini

    ReplyDelete
  8. I used to play games after long day of work tired or bored. And I would recommend to everyone a very interesting game and attractive for both color and sound
    run 2 , run 2 game , run 2 unblocked , run 2

    ReplyDelete
  9. Saluti na Mungu azidi kukubariki

    ReplyDelete
  10. Saluti na Mungu azidi kukubariki

    ReplyDelete
  11. Viêm âm đạo là một dạnh bệnh lý về phụ khoa do các tác nhân gây bệnh như nấm, vi khuẩn, virus, ký sinh trùng,…. gây nên và tạo thành vùng viêm nhiễm. Rất nhiều chị em đã bị ảnh hưởng rất nặng khi bị viêm âm đạo lâu năm, gây ảnh hưởng đến sức khỏe đời sống tinh thần.
    điều trị viêm phụ khoa, khám phụ khoa , khám phụ khoa ở đâu tốt , nên khám phụ khoa ở đâu, nguyên nhân viêm âm đạo

    ReplyDelete
  12. NIMEFURAHI SANA KUJUA FAIDA ZA MDALASINI

    ReplyDelete
  13. Safi nimeipenda sana makala hii na nitaifanyia kazi

    ReplyDelete
  14. Most kids like to play games online at school.Thousand of students had access to computers at school and want to play single or 2 player unblocked games.
    This website has more than twenty categories to discover.Ofcourse you can play offline a lot of quality video mario games.
    I prefer online as these are free and most of them can be played in full screen.
    Many businesses and schools had restricted access to malicious or otherwise inappropriate websites on their networks. Anyway, a variety of proxy sites offer access to hard websites like flash or unity games.
    Many of these sites advertise specifically to children as a free and fun way to play kizi games at school.
    Although these games are normally blocked on the network by the operating system, the proxy server acts as an intermediary in that, to the network, it appears that the user is simply browsing the proxy site when he or she is actually playing games or are surfing on i8napropiate websites for adults or other.
    So using our proxy server you are able to play at work or at school and nobody know.
    No matter what you play puzzle, action, dressup,skill or solitaire card you can load all at any time.
    The website offer the oportunity to discover new or popular many flash, unity or html5 math games.If you like bookworm popcap game you can play it here on pc, tablet or ipad.
    To play it on smartphone you will be redirected to the mobile version where you play also unic games in single or 2 player and in full screen.
    Still there are available brain games who will help your brain to stay young and healthy keeping you away of disease.
    Most played are 2 player where you can chose to play it even in single player vs computer.
    No need to remember the mobile version adress ,just remember only the top domain and based on your device dimensions you will be redirected by browser.
    More links:Math playground games Pogo games

    ReplyDelete
  15. Good. I am really impressed with your writing talents and also with the layout on your weblog. Appreciate, Is this a paid subject matter or did you customize it yourself? Either way keep up the nice quality writing, it is rare to peer a nice weblog like this one nowadays. Thank you, check also virtual edge and virtual thank you

    ReplyDelete
  16. Powerful Herbal treatment is 100% guarantee for SHINGLES cure, the reason why most people are finding it difficult to cure SHINGLES is because they believe on medical report, drugs and medical treatments which is not helpful to cure SHINGLES and hasn't proved any sign of helping. Natural roots/herbs are the best remedy which can easily eradicate SHINGLES forever. I never believed it until I was helped with natural herbal medicines , Where other medical prescribed drugs and treatments failed, Natural herbs helped saved me and i am so grateful for this. You can also get help from this great and powerful herbs can also contact Dr Chike via Facebook page @ Dr Chike Herbal Remedy. Or text/call via: +1 (719) 629 0982

    ReplyDelete
  17. Genital herpes is a sexually transmitted disease (STD) caused by the herpes simplex virus type 1 (HSV-1) or type 2 (HSV-2). Herbalist Dr Kham cured me with his two weeks herbs from HSV-1, Hey Friends, I am so glad to write my Review on this article today to tell the world how Dr. Kham cured my herpes virus, I have been detected with HSV-1  Two Years Ago my life has been in complete bizarre and agony, I have used so many drugs that was prescribed to me by several doctors but it didn't cure my herpes virus neither did it reduce the pain until a certain day that I was checking for solution in the internet then I came across Dr. Kham the powerful herbalist that cure numerous individuals STD, Then I contacted his email And I explained everything to him and prepared a cure for me and he ship it to me via a Courier Service and in 7 days I Received it and he gave me the prescriptions on how to take the dosage of the herbal medication that cure my HSV-1 Virus totally after taking the dosage of his herbal medicine for two weeks, So my friends/viewers why wait and suffer when there is someone like Dr. Kham The only caregiver that can cure any diseases & Virus, You can contact him via Email: dr.khamcaregiver@gmail.com  or visit his Website:  herbalistdrkhamcaregiver.simdif.com and for quick response Message him on WhatsApp: wa.me/2348159922297

    ReplyDelete